Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Alijitangaza akiwa kambi ya jwtz ngerengere yeye na mwaandani wake jakaya. Wakati huo muliro akiwa analala kwenye vitanda vya wagonjwa pale lugalo jwtz . Usicheze na nguvu ya umma hata kidogoNimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua.
Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
Ongezea Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa siku hizi ChoiceVariable naona kawa mpole hiviHuyu rais anayempenda ni abduli tu na wanu.
Maamae kishimbe wa kishimbeYBWYB!
View attachment 3680374
NO MENENTI MENTE!
Hiyo inaitwa chupuchupuAlijitangaza akiwa kambi ya jwtz ngerengere yeye na mwaandani wake jakaya. Wakati huo muliro akiwa analala kwenye vitanda vya wagonjwa pale lugalo jwtz . Usicheze na nguvu ya umma hata kidogo