Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
Acha uongo hivi unajua Kinshasa ipo karibu ya taifa Gani kubwa ulayaSerikali yao inatakiwa itoke hadharani na kukemea huo uhuni.
Tanzania Kwa muda mrefu imekuwa ni mdau Mkubwa wa DRC
Tukisema nasisi tuwabanie hapo Bandarini hakuna kitu watafanya
Watu wenyewe Kila kitu wanaagiza kupitia Tanzania
Sipo kwaajili ya kuonesha uongo wangu ama uerevu wako, ila ninachoweza kukueleza ni kwamba Kwa namna jiografia yao ilivyo.Acha uongo hivi unajua Kinshasa ipo karibu ya taifa Gani kubwa ulaya
Kwahiyo wewe vitu unavitoa mbinguni sio ulaya na kingine congo Haina bahari mpaka wakutegemee wewe Kila kituSipo kwaajili ya kuonesha uongo wangu ama uerevu wako, ila ninachoweza kukueleza ni kwamba Kwa namna jiografia yao ilivyo.
DRC wanategemea bandari yetu Kwa zaidi ya asilimia 85
Hiyo Nchi ya Ulaya wanaweza kuwa na mahusiano ya kawaida ya mtu na boss wake lakini hakuondoi ukweli kwamba DRC wanategemea mno bandari zetu za Tanzania
Naomba ujipe muda ukajielimishe kuhusu Nchi ya Congo na mipaka yake.Kwahiyo wewe vitu unavitoa mbinguni sio ulaya na kingine congo Haina bahari mpaka wakutegemee wewe Kila kitu
We umesema Kila kitu wanaitegemea tanzania ndio maana nikakuambia acha uongoNaomba ujipe muda ukajielimishe kuhusu Nchi ya Congo na mipaka yake.
Upande wa mashariki tumepakana nao kupitia Ziwa Tanganyika ambalo na magharibi wamepakana na Nchi nyingine ambazo hazina bahari pia
Kwa urahisi wanatakiwa watumie bahati yetu ya Hindi katika kusafirisha mizigo
Ndiyo maana ukifika hapo Tunduma border utakutana na msululu wa magari ya mizigo yanaelekea DRC,Zambia na Nchi za Kusini
Nilimaanisha Kwa ishu ya mizigo wanatumia bandari zetu katika kupitishaWe umesema Kila kitu wanaitegemea tanzania ndio maana nikakuambia acha uongo
Congo mizigo wanayoingiza hutoka Asia,bei nafuu,bidhaa za ulaya hawazimudu,wakiachana na bandari ya dar maana yake washushe Mombasa, mzunguko mrefu,au meli toka asia zizunguke misri zikapakue mzigo bandari yao kinshasa,bado gharama juuKwahiyo wewe vitu unavitoa mbinguni sio ulaya na kingine congo Haina bahari mpaka wakutegemee wewe Kila kitu
Congo mizigo wanayoingiza hutoka Asia,bei nafuu,bidhaa za ulaya hawazimudu,wakiachana na bandari ya dar maana yake washushe Mombasa, mzunguko mrefu,au meli toka asia zizunguke misri zikapakue mzigo bandari yao kinshasa,bado gharama juu
Tuelimishe wengi. Ipo karibu na taifa gani mh.?Acha uongo hivi unajua Kinshasa ipo karibu ya taifa Gani kubwa ulaya
Kishansa Kuna bahari?Congo mizigo wanayoingiza hutoka Asia,bei nafuu,bidhaa za ulaya hawazimudu,wakiachana na bandari ya dar maana yake washushe Mombasa, mzunguko mrefu,au meli toka asia zizunguke misri zikapakue mzigo bandari yao kinshasa,bado gharama juu