Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

Attachments

  • Screenshot_2025-04-19-19-22-11-832.jpg
    Screenshot_2025-04-19-19-22-11-832.jpg
    486.3 KB · Views: 13
Hii ndio serikali ya CHURA akuna inacho fanya kuwasaidia watanganyika n changamoto za MAISHA. Na CHURA yy anawaza udalali tu pale magogoni na CHAMWINO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Majeshi ya SADC[Tz na SA] yalijisalimisha Congo...Waasi waliwaamuru lini waondoke, silaha gani zitoke, zitoke kwa namna gani na zitoke kupitia border gani.

Aibu ya karne.....sishangai wa-Congo kudharau madereva wanaotoka Tanzania.

Kuna mtanzania alikwama South Sudan week kadhaa sijui kama kasaidika. Alimgonga mwanajeshi akafariki...alikamatwa na polisi familia ikaamuru alipe fidia ya milioni 33. Sijui kama kasaidika...

Ukiachana na hilo....Madereva wawili wa watanzania walishambuliwa na wahuni Zambia....hadi tunaongea ni marehemu sasa.
Dah!
 
Back
Top Bottom