Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na yanapoteza muda ambao ungeweza kutumika katika shughuli zao za usafirishaji.
Soma pia > VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva
Wamesema utaratibu huo unaathiri uzalishaji wao pamoja na shughuli za waajiri, hivyo wamezitaka mamlaka husika kutafuta njia mbadala zitakazorahisisha mchakato wa uhuishaji wa leseni bila kuathiri utendaji wa madereva.