Madereva mwendokasi hebu jaribuni kuwa waungwana

Madereva mwendokasi hebu jaribuni kuwa waungwana

mwendokasi wana kero mno ukiwaambia ukweli wanaishia kukukamata wale suma jkt
 
Hao madereva wanajisikia utafikiri wanaendesha ndege utakuta hata kama unajaribu kuniulizia swali kuhusu hilo gari la luti ipi kimara au morocco halikujibu utakuta limenuna utafikiri limelishwa mavi asubuhi na mke wake
wanafanya kazi mazingira magumu sana hakuna cha posho mishahara yenyewe hadi tareh 35 unategemea nini..
 
Napenda kufahamu, Hawa Madereva si wengi ni SUMA JKT?
 
Back
Top Bottom