CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Aisee nchi ilifika pabaya,watumishi wa uma wanajiona Miungu watu.Inabidi uwaombe wasiichane mkuu na inategemea na unayemuomba ,uelewa wake!
Utamkumbuka ww na shangazi zako, kwaiyo iyo kero ya hao majinga ya mwendokasi imeanza leo
Wanatupa hata barabarani!Aisee nchi ilifika pabaya,watumishi wa uma wanajiona Miungu watu.
Hivi wakiisha ichana wanakupa ama wqnatupa kwenye bin?.
Pumbavu na nusu .shetani mkubwa
Dah mbaya sana.Wanatupa hata barabarani!
Matusi ya nini ndugu?Pumbavu na nusu .shetani mkubwa
wanafanya kazi mazingira magumu sana hakuna cha posho mishahara yenyewe hadi tareh 35 unategemea nini..Hao madereva wanajisikia utafikiri wanaendesha ndege utakuta hata kama unajaribu kuniulizia swali kuhusu hilo gari la luti ipi kimara au morocco halikujibu utakuta limenuna utafikiri limelishwa mavi asubuhi na mke wake
Tena huyo mwendazake amesababisha hadi kampuni kukosa hata mabasi.