Hapana ni Dar pekeeSipo dar kwan wanamatawi.
Kuna kitu hukuzingatia ndio maana ukapatwa na hali hiyo ,cha kwanza unapotaka kulipita gari la mbele yako liwe limesimama au linatembea lazima uache nafasi ya kutosha kati yake na wewe hii itakusaidia endapo itokea gari nyingine mbele yako unaweza kurudi kwenye upande wako. Ukienda nit pale watakufundisha udereva wa kujihami itakusaidia sana barabaraniSwali kwa madereva wenzangu.
Hivi ni hatua gani mnachukua ikiwa umekutana na gari kubwa( ROLI ) limepaki kwenye njia upande wako
(LEFT WAY) ikiwa wewe na waliopo nyuma yako mpo speed?
Binafsi leo ninekutana na iyo shida, niliamua kuovertake (uvivu wa kupunguza gia ) lakini kabla sijaingia mazima nilipishana na Land Cruiser ilikua kibati na sikua nimeona maana mbele ya ile njia kuna kona ndogo, nilipaki pembeni baada ya tukio na nikawaza ni vipi nifanye sikunyingine nikikutwa na hali kama hii ila sijapata majibu.
Naona wengi mmeisema NIT itabidi niizingatieKuna kitu hukuzingatia ndio maana ukapatwa na hali hiyo ,cha kwanza unapotaka kulipita gari la mbele yako liwe limesimama au linatembea lazima uache nafasi ya kutosha kati yake na wewe hii itakusaidia endapo itokea gari nyingine mbele yako unaweza kurudi kwenye upande wako. Ukienda nit pale watakufundisha udereva wa kujihami itakusaidia sana barabarani