Madereva na maKondakta walalamika shilingi 100 kuadimika. Tunaomba tuletewe

Madereva na maKondakta walalamika shilingi 100 kuadimika. Tunaomba tuletewe

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600.

Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu hizo, hata bei ya kununua chenji imepanda kwani awali kwenye Sh1000 walikuwa wanapata Sh800 lakini sasa hivi ukitoa TSh 1000 wanapewa TSh. 600.

Wameomba mamlaka husika kulitazama suala hilo na kuzirudisha sarafu hizo kwaajili ya kuinua uchumi wao.

 
Back
Top Bottom