Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

Wakuu,

Msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.

Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli.

Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.

Nice holidays

Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
Camera inachukua picha mbali x3 ya 500 m utakua umeingia cha kike tayari cha msingi tii sheria bila shuruti, kumbuka ukipata ajali anayejeruhiw,kufa au chombo kuharibika kunakuhusu wewe Zaid na si Polisi.
 
sijahamasisha kutokufuata sheria za barabarani...
 
• Get the real-time alerts of mobile radar traps and fixed speed cameras location.

TZ tuna fixed speed cameras?

Ukitumia hii apps utawachangia sana matrafiki kwa jinsi wanavyohama hama.
 
Kwa bongo ha apply kabisa...labdda ungesema izo speed torch za trafic nazo wawe wanatumia gps...road zetu nyngng hazijakua updated na details zote pili trafic bongo hawaeleweki unaeza amka asubuhi ikakuta ametesha tochi getini kwako hawana sehemu maalum...kama mtu anapanda juu ya mti sasa hiyo software itamuonaje?
 
Back
Top Bottom