Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

Ziko kwenye GPS ndiyo maana wanaweza kupiga picha na kuzituma kwa mtu mwingine
 
Sasa hii inajuaje kua hawa wa tochi wako sehemu gani maana hawa jamaa wakawaida kuhama hama sehemu za kutega mingo
inaonyesha move zote, na inaonyesha muda ambao trafic wenye walipokiwepo.
 
Imetulia safi sana tutapumua sasa... Maana jambo huzimwa kwa jambo..!

Bwihi..! Bwihi..!
 
Umbea tu huo km huna hoja bora unyamaze tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu utakuwa traffic wewe. Umbea gani akati ndio uhalisia. Kunasehemu ilikuwa poa sana na tulikuwa tunapigwa faini daily. Kumbe kulikuwa hakuna kibao. Vikawekwa vibao bhana. Within one month vyote viko chini na jamaa washarudi. Yaani mtu inapigwa faini ya 50kph sehemu uloyo rihusiwa 80 kph
 
Wewe utakuwa shabiki wa man u au arsenal au simba. Hizi sio akili za binadam.

Serikali inakusaidia ufike salama, wewe unaona ni upuuzi?
 
Barikiwa kaka jioni ntakucheki upate bapa moja la lukeselo baridi sana
 
Go setting ina mpaka recording
Nimeiwasha jana wakat natoka Mbagala kuja Tabata. Aisee kila sehem ambapo iliwahi kuwekwa Torch hata kama ni zamani, hii inadetect. Lakini hii ya kwangu mbona inaonyesha 60kph muda wote? Nimekosea settings?

Lakini wakat unaendeaha highway, simu utakua umeiweka wapi ili uwez kuangalia, au gari lako liwe na GPS?

yote kwa yote inasaidia kutoa alert ili dereva apunguze mwendo
 
Sasa hizo tochi mbona zina kamata umbali mkubwa zaidi ya hii app. Kama sijakosea hizo tochi zina uwezo wa kuditect umbali hadi kilometa nne.
 
kuna hizi holder za simu kwenye magari huku kwetu sio maarufu sana
 
Nimepakua ipo poa sana hapa nilipo inanionyesha kuna jumla ya camera 3 hapa nipo morogoro kuna camera kabla ya kufka moro kutoka dar nyingne ipo kuelekeaa mbeya kutoka moro nyngne kuelekea dom
 
Nimepakua ipo poa sana hapa nilipo inanionyesha kuna jumla ya camera 3 hapa nipo morogoro kuna camera kabla ya kufka moro kutoka dar nyingne ipo kuelekeaa mbeya kutoka moro nyngne kuelekea dom
Hapo unaangalia ipi iko active! Inakuonyesha, angalia dakika za hiyo camera! Hao jamaa wanamove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…