Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

Ntajaribu halafu ntaleta mrejesho
 
Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50
Ukishapigwa fine kwa kuOverspeed sehemu isiyo ba speed limit unastahili kupigwa na makofi kwa sababu hujui haki zako kisheria.
 
Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50

Na ukipigwa fine kwa mtindo huo kirahisi unakuwa mzembe wa mwisho ukiacha kubishana.
 
Hi all,
Hebu aliyetumia hii APP atupe mrejesho kama inafanya kazi kwa GPRS, internet, n.k
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kuna aliefanikiwa kwenye hili wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…