Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Aisee iko pouwa mkuuiko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee iko pouwa mkuuiko vizuri
Mbona enaexpire? Kwa Sawa wanataka nilipie. Ila ilinisaidia sana mwezi Jana kipindi cha sikukuuGo setting ina mpaka recording
Zipo,kuna kipindi nilikutana nao barabara ya kuelea uwanja wa ndege wa jkhivi kwanini mijini hamna tochi?
Uninstall halafu install upyaMbona enaexpire? Kwa Sawa wanataka nilipie. Ila ilinisaidia sana mwezi Jana kipindi cha sikukuu
Majambazi usikuDawa kusafiri usiku kwa usiku
Ntajaribu halafu ntaleta mrejeshohii app ni ya kwel,,,
ina kuonyesha spid inayotakiwa kutumika katika eneo husika
ina sense camera za polis kwaa kupiga alam
inakuonyesha route ya barabara...tangu nimeijua trafik huwa ni kuwapungia tu,,,maana hata ajifiche alam ikishagonga unapunguza spid
ExactlyAlama za barabarani zinatosha sana
Ukishapigwa fine kwa kuOverspeed sehemu isiyo ba speed limit unastahili kupigwa na makofi kwa sababu hujui haki zako kisheria.Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50
Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa bongo ha apply kabisa...labdda ungesema izo speed torch za trafic nazo wawe wanatumia gps...road zetu nyngng hazijakua updated na details zote pili trafic bongo hawaeleweki unaeza amka asubuhi ikakuta ametesha tochi getini kwako hawana sehemu maalum...kama mtu anapanda juu ya mti sasa hiyo software itamuonaje?