Madereva tuache tabia hizi

Mzee double lane kuna mambo ya ku keep distance??
We upo kulia mwenzio kushoto unaakaa mbali ili iweje?
 
Mzee double lane kuna mambo ya ku keep distance??
We upo kulia mwenzio kushoto unaakaa mbali ili iweje?

Kwani gari huwa inatembea kiubavu?


Hata kama sawa, lazima uweke distance kati ya gari yako na ya pembeni. Unawajibika kumlinda wa pembeni. Usivuke mstari.
Kama wewe huwa unaendesha gari, dah!
 
Kwani gari huwa inatembea kiubavu?

Distance keeping ni kati ya gari yako na ya mbele yako.

Kama wewe huwa unaendesha gari, dah!
Sasa mie ninezungumzia double lane za uelekeo mmoja we upo kulia mwenzio kushoto ghafla anahama kutoka huko alipo anakuja kwako bila kuangalia side mirror ili aweze kujua gari ya upande mwingine ipo umbali gani na spidi gani....

Sawa hapo unamteteaje chizi ka huyo..
 

Kwa vyovyote iwavyo ikotokea umemgonga nyuma wewe una makosa. Labda mpigane pasi ndipo kidogo itaweza kuleta ugumu kuamua. Ila kama kaingia ghafla halafu umegonga taa ya nyuma, bampa, nk ikiwezekana mlipe tu hapohapo kwa sababu traffic akija anaanza: kosa la kwanza: umeshindwa ku keep distance, kosa la pili: umeharibu gari ya mwezako: kosa la tatu: umehatarisha maisha: kosa la nne umeharibu gari yako. Hayo ndiyo makosa common kwenye kadhia hii. Hapo bado makosa kama kuharibu miundombinu, kujeruhi, kuua, nk.

Likikutokea hili ndipo utajua vyema
 
Iwe kosa isiwe kosa haihalalishi uzembe wa kuhama lane bila kuangalia side mirrors unaeza gongwa na gari ambalo sio saizi yako ukafa vile vile usiwatetee hao wanofanya huo ujinga
 
Iwe kosa isiwe kosa haihalalishi uzembe wa kuhama lane bila kuangalia side mirrors unaeza gongwa na gari ambalo sio saizi yako ukafa vile vile usiwatetee hao wanofanya huo ujinga

Kufa ni sehemu ya maisha ya barabara. Ila sasa unadhani kati ya aliyekufa na wewe uliyegonga na kubaki hai ni nani ana tabu?

Kama wewe ni dereva, kuwa makini aisee. Kama unaandika vitu vya namna hii, ninahisi udereva wako hauko sawa kidogo.

Nilitaka kushare tu na wewe maana huwezi jua, tunaweza kukutana road bila kujuana yalafu yakatokea mazabe.

Udereva ni undugu ndiyo maana hata ukimpisha mwenzako sehemu korofi, mfanao ana mzigo anapanda mlima, ukipaki kumpisha anakushukuru.

Kwa hiyo ukiwa barabarani unakuwa na hisia za kuendesha gari tano kwa wakati mmoja. Huo ndiyo udereva.

Wakati wewe unajifunza, mwenzako kafuzu nk.

Ni hayo tu. Sina nia ya kubishana
 
Hapo namba mbili (2) naomba ufafanuzi kidogo:-

Mpo double road na wote wawili mpo kwenye speed moja, mmoja kulia na mwingine kushoto ni upande upi mnatakiwa mkae ili kuruhusu anaekuja ku overtake? Left or Right?

Kuna rule sijui kama ipo applied TZ inasema "keep left unless overtaking"
 

Iwe kosa isiwe kosa haihalalishi uzembe wa kuhama lane bila kuangalia side mirrors unaeza gongwa na gari ambalo sio saizi yako ukafa vile vile usiwatetee hao wanofanya huo ujinga

Wakuu mimi navyoona wote mpo sahihi,
Nitasahihishwa kama nipo sahihi.
Katika traffic cases ya magari kugogwa au kugonga mara nyingi huwa wanaangalia ni gari gani limeumizwa mbele, ambalo linakua lina majeraha mbele ndilo linalokua limegonga lenzake bila kujalisha kosa kalifanya nani.
Ila hata hivyo hii tabia ya kujipachika kama vile mtu anaendesha bodaboda sio tabia nzuri, unaweza ukafanya hivyo kumbe mwenzako break zake za kupump alafu ila upande wako.
Pia nimeangalia udereva wa Dar kusema ukweli kukeep distance ni changamoto maana kidogo tu ukiacha ka safety distance atashangaa kabajaji kapo tayari mbele
 
Mkuu kitaratibu kama unaenda slow unatakiwa utembee na line ya kushoto, utaona morogoro road kuna baadhi ya sehemu katikati ya chalinze- morogoro wameweka kabisa hiyo michepuo ili magari yanayoenda taratibu yasilazimishe yasiotaka kwenda taratibu kuenjoy maisha.
Lakini inapokuja kiuhalishia watu hawajali hili unakuta magari mawili side by side yanaenda slow kwenye double road, mwishoe hakuna gari nyuma yao linaloweza kuwavuka kwa njia ya kulia (kama utaratibu unavyosema) wala ya kushoto.
 
Ww nae ni mkuda
 
Huwa natembea na mawe kwenye dashboard kwa ajili ya Hawa jamaa.
 
washawahi pita na side mirror yako nini?
 
Na nyie piteni katikati
 
Hizi tabia zingine tukubaliane tu ni ukudu;
  • kutanua kwenye foleni mpaka unakula barabara zote mpaka ya wale wanaoenda ulipotoka huu ni UKUDA na UBINAFSI, yani kwakua wewe uelekeo wako hauendi basi sote tusiende?
  • Kwenye makutano ya barabara unakuta mtu analazimisha kwenda mbele mpaka anazuia magari yanayotoka upande anapoelekea yasitoke kwa kukunja kulia na yanayotoka njia ya kushoto kwake yashinde kuingia barabarani na kwenda alipotoka.
Picha haioneshi vizuri, Ila hilo gari jekundu lilitumia zaidi ya dakika 10 kutoka barabarani. Yani kwa lugha rahisi halikufanikiwa kutoka mpaka pale sisi tuliporuhusiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…