Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Omba kuongea na mkuu wao pembeni. Chagua kiherehere mmoja mwite pembeni. Ukifika naye chemba mwambie wacha ujinga we pimbi kula 10k
Hapa ni liwalo na liwe..
Kwani kuwa jirani na gari ndio kwamba mwenye gari ndio huyo asiyekuwa na uniform? Kuna polisi hawavai uniform.