Madereva wa Bajaji Bolt na stori za hapa na pale!!!

Madereva wa Bajaji Bolt na stori za hapa na pale!!!

kidodosi

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
2,372
Reaction score
1,503
Madereva wa Bajaji (bolt) stories zenu zinafikirisha sana, sasa sijui zinakuwa za ukweli asilimia ngapi??
Huu ni mtiriri wangu:
1. Aisee kuna demu mmoja wa kishua kanipenda sana, tunagonga humu humu kwenye Bajaj yangu.
2.Dada mmoja mteja wangu sana tu,tumezoeana!! Siku nimempeleka kwake mvua inanyesha, nikamsaidia kubeba kama mzigo mpka ndani ,haikuchukua muda akaniingiza Kingi!! Aisee sikuamini siku hiyo.

3.Mama mmoja mke wa professor mstaafu, alikuwa mteja wangu ila sasa mapenzi moto moto,mpka kaninunulia hii Bajaji.
4.Kuna beki tatu wa mrembo sana,nakula mzigo ndani kwa bosi wake sana tu!!!
Issue mtoto wa boss nae kaingia kingi mpka dada wa kazi kapigwa chini niko nae ghetto.
65.Hapa sasa tunatoka Shell, huyo demu( pump attendant) mke wa mjeshi lakini watu wanamtokea sana , hadi mumewe namfahamu!!!

6.Aisee hawa washikaji zangu ,wanamalizana na Dada poa ndani ya Bajaji sana tu ,mida ya lala salama ,Nikki sana.

Yaani wana stori nyingi sana tena unakuta hata hamjuana kabisa kabisa lakini unakuta mwamba ana TIRIRIKA tu!
Ebu tiririka na wewe kama umeisha wai kukutana na madereva aina hii hata kama boda boda.
 
Kwa hawa wanawake malaya malaya tulio nao sasa hivi kwenye jamii hayo wala siyo ya kuacha kuyaamini!

Mimi nasimama na dereva Bajaj.
 
Back
Top Bottom