KERO Madereva wa Bolt, Uber etc waache kulalamika na kususia wateja wenye BONUS

KERO Madereva wa Bolt, Uber etc waache kulalamika na kususia wateja wenye BONUS

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu.

Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe.

So kama bonus inafanya tukose hudumu bora zifutwe.

Au ukifika destination anaanza kuomba aongezewe nauli tofauti na kilichoandikwa. Waelimishwe na wasaidie.
 
nakazia nakazia unarequest mtu anakuuliza imesoma nnayo iona huku au una ofa woooi tena haswa bajaji na magari
 
Pia kuna wateja wanaotumia kadi, madereva hawapendi labda mpaka awe anadeni la kulipa bolt ndo atakubali. Kuna jamaa alishawai kunishusha kwenye gari simply nilikuwa natumia card.
 
Bonus ninayo lakini huwa siulizwi kwanini imekuwa ndogo
Wanaishia kuniambia nirate stars za kutosha kwa ride yake
 
Back
Top Bottom