Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

wakenya ni wapumbavu kweli kweli, walikua wanapga kelele tz kuna corona na hawapimi je kwa nini waliwaruhusu madereva wao waingie na kutoka dar ambako corona ipo, kwa nini wasingewazuia ili wasiwaletee maambukizi zaidi? hili jambo lina ajenda ya siri ila tushaijua
 
[SUB]Kenya na Tanzania Ni ndugu...tunashirikiana kwenye Mambo mengi..Sasa hizi mbilinge mbilinge sijui zitaishia wapi[/SUB]
 
The Bottom line is that no Kenyan Authority will accept certificates from Tanzania as a proof of their drivers being negative.
Lazima wapimwe tena on the Kenyan side.Kama hawataki kupimwa wabaki kwao.Magufuli has exposed you so badly no one trusts covid Data from Tanzania.
 
Hii ni vita kila Nchi apigane inavyoweza cha kushangaza kenya wanataka Tanzania wapigane kama wao kila siku wanaulizia mmepima watu wangapi.....ninyi kenya inawahusu nn mambo ya Tz, bora mipaka ifungwe tu kila mtu ale jeuri yake.
Hakuna anayepigana Vita .Kenya imeweka protocols ambazo Lazima zifuatwe na madereva .Lakini Tanzania haina mipango yoyote ju kwenu Corona iliisha ....hatua ya kuzuia madereva wa Kenya Inaonyesha mmechanganyikiwa.They are what we call childish tantrums
 
No Tanzanian shall be tested in Kenya, you need us, we don't need you, that is a fact.
 
Lazima Kenya mufuate vile Tanzania inataka, sisi hatupimi watu wetu na hatutaki muwapime huko Kenya, "nothing more nothing less" lazima mkubali vyeti vya Tanzania, otherwise there is nor a Kenyan who will cross to Tanzania
 

pitalRadio

@CapitalRadiotz


#Habari:Madereva wa magari makubwa ya mizigo wamekwama kwa siku tano katika mpaka wa Holili mkoani Kilimanjaro kutokana na upande wa Kenya kutotambua vyeti vya vipimo vya ugonjwa wa Corona vinavyotolewa na Wizara ya Afya ya Tanzania kwa madereva hao.
Translate Tweet



2:30 PM · Jun 5, 2020·TweetDeck
2
Likes




Nukta Tanzania
@NuktaTanzania


Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) kimeiomba Serikali kuzitafutia ufumbuzi changamoto nne ikiwemo unyanyasaji wa madereva wa Tanzania katika mpaka wa nchi za Rwanda na Kenya ili kuimarisha shughuli za kibiashara katika nchi hizo.
Translate Tweet


Nukta | Tanzania yaombwa kushughulikia adha za madereva kwenye mipaka
Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) kimeiomba Serikali kuzitafutia ufumbuzi changamoto nne ikiwemo unyanyasaji wa madereva wa Tanzania katika


aibu Waziri
@wizara_afyatz
,Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.
Translate Tweet





8:22 AM · Jun 10, 2020·Twitter for Android
 
Upper au uzezeta
 
We mjinga tu nikuulize
1. Idadi ya raia wenu itapimwa yote kwa muda gani?

2. Zile mukopo na misaada uliyopokea wewe umepata ksh?

3. Baada ya mass testing mnawatibia na nini?

Kama lengo la lockdown na mbwembwe ni kupata misaada endeleeni kivyenu bora na Uganda wanawakazia
 
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
Ujitambui inaonesha wewe ndio wale katika familia mtoto ana sauti kuliko wewe mzazi anakupangia anavyota wewe unachoangalia mtoto tu afurah bc
 
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
Muafaka gani unataka wewe...muafaka ulishafanywa...Kila dereva apime nchini mwake na akiingia nchi nyingine aonyeshe certificate ya upimaji...manyang'au wamekiuka makubaliano...ni vema issue ibaki hivi hivi ...Kila mtu apambane na hali yake..nyang'au hakuna kuingia TZ..na MTZ naye hakuna kwenda kwa manyang'au..
 
Tunakubali...Kila mtu apambane na hali yake..nyang'au mbaki kwenu Kenya..mkija TZ tutawaambukiza Corona...na sisi hatuji huko Kenya kwani tunaogopa tusije tutawaambukiza Corona...nyie endeleeni kupima Corona kwenu..tekelezeni masharti ya mkopo wa mabeberu..Kenya mna shida Kila jirani ana ugomvi na nyie..
 
Mtasanda mwaka huu wajinga nyinyi.
 
Mkuu umeona video ya hii? Wanasema wamepimwa Kenya, weeks zimeshakata sasa, hawajawai kuumwa na kwamba mamlaka za Kenya mkipewa 3000 sijui, ndio unakuwa -ve covid19.
Kenyans angalieni hii kitu, acheni affiliations
 
Nimesikiliza hoja za madereva wa TZ kukataa kupimwa Kenya. Ni kwamba hakuna mazingira mazuri, mpimaji hajisanitize anapomaliza kumpima mtu wakati anamgusa gusa. Kwaio haki yao kukataa kupimwa, mana kama amemgusa mtu mwenye kirusi, halafu anaingia asiekuwa na kirusi na mpimaji hajaji sanitize maanake anamuambukiza na yule mwengine ama kusababisha contamination kwenye kipimo. Majirani mmekalia ubaya tu kwa Tanzania!
 
not only Corona, no one trusts any data from TZ...
 
Sasa kama sisi tuna corona si muache kuja tusiwaambukize kila mtu abaki kwao full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…