joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Hahahaha, tumia akili wewe nyang'au sikilizatatizo lako ni propaganda hadi unachosha, waltham amekupa hali kamili kama ilivyo kwa madereva wa tz. Kuingia Kenya lazima wapimwe, kama hawataki kupimwa hawaiingii kamwe. Madereva wa Kenya hawakatai kupimwa ili kuingia tz lakini tunajua kuwa hampimi kwa kuwa hamna uwezo wala utalam na vifaa. Maabara mlisha funga baada ya kupima mapapai sasa sijui unatoa povu hapa ili iweje.
1) Madereva wa Tanzania hawataki kupimwa tena huko Kenya, wameamua kubaki Tanzania.
2)Madereva wa Kenya wapo Tayari kupimwa Tanzania lakini Tanzania tumekataa kuwaruhusu.
Hapa inaonyesha jinsi gani Tanzania ilivyo na nguvu katika kuamua huu mgogoro, pamoja na madereva wa Kenya kujidhalilisha na kujishusha hadi kukubali kupimwa tena Tanzania, lakini sisi tumekataa kuwaruhusu madereva wenu.
Madereva wa Tanzania wanepewa hiyo nafasi, endapo watakubali kupimwa huko Kenya, wataruhusiwa kuendelea na safari, lakini wao wamegoma kupimwa na madaktari wa Kenya kwasababu hawana hadhi wala viwango vya kuwapima watanzania.