Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

Hahahaha, tumia akili wewe nyang'au sikiliza

1) Madereva wa Tanzania hawataki kupimwa tena huko Kenya, wameamua kubaki Tanzania.

2)Madereva wa Kenya wapo Tayari kupimwa Tanzania lakini Tanzania tumekataa kuwaruhusu.

Hapa inaonyesha jinsi gani Tanzania ilivyo na nguvu katika kuamua huu mgogoro, pamoja na madereva wa Kenya kujidhalilisha na kujishusha hadi kukubali kupimwa tena Tanzania, lakini sisi tumekataa kuwaruhusu madereva wenu.

Madereva wa Tanzania wanepewa hiyo nafasi, endapo watakubali kupimwa huko Kenya, wataruhusiwa kuendelea na safari, lakini wao wamegoma kupimwa na madaktari wa Kenya kwasababu hawana hadhi wala viwango vya kuwapima watanzania.
 
skiza wewe zero brain, kama madereva wa tz hawataki kupimwa, wawache kurundikana hapo mpakani warudi majumbani mwao. Hapa Kenya hapaingii dereva wowote hata wa magufuli bila kupimwa! kama mna nguvu kama unavyo sema, mngekua ndani. Madereva wa Kenya hawana ishu kupimwa kwasababu hiyo ndio hali ya dunia sasa na kama ni sheria lazima ifuatwe. wewe endelea kujamba hapo mpakani lakini kuingia Kenya lazima upimwe na madaktari wa Kenya.
 
Yaani vitu vingine vinachekesha eti lockdown [emoji23]

Hizi ndio magufuli anaziita lockdown hewa aka lockdown uchwara . Mtakuja kufa njaa nyie mafala

Endeleeni kuiga mabeberu.
 
Hongera mkuu.kwa hoja nikiwa napita sehemu nikasikia hiki " km mashartinya nyumba yako lazima uvue viatu hakuna anaekubishia...na kwangu sitaki wageni nimepumzika mda huu ntakapoamka ntaruhusu wageni nalo wataka kunibishia ?walisikika mabaharia wawili wakiwa kwenye kijiwe cha kahawa."
 
And
Bad enough you wish to enter where there is full of corona. And they still have good hope then...( when they come back they will be negative)
 
Wapo pale mpakani wanasubiri kwasababu wanao uhakika wataingia Kenya bila kupimwa tena, ninakuhakikishia kwamba hakuna dereva wa Tanzania atakayepimwa Kenya na lazima wataingia Kenya, haitofika Jumamosi lazima Kenya mtawaruhusu waendelee na safari, lazima mtakubali certificates za Tanzania
 
Prove ya kupima ni cheti ndo maana wakakubaliana kila mtu amuonyeshe cheti na wapime upande mmoja sio kurudia kila upande..
Na suala/hoja ni makubaliano hata km yalikua yakijinga walikubaliana zaidi ya hapo ni kutafuta kutetea upande.
Km huku kuna korona na kule hakuna korona kuna haja gani ya kuifuata korona kwa nn usikae upande ambapo hakuna korona?
Km ww huniamin na hukuniamini je kuna ulazima wa mm kuku amini?(ukizingatia kila mmoja wenu amechagua upande wake na maamuzi yake )
Eidha tanzania anapima au hapimi hoja ilikua ni cheti...km uliona hapimi kwa nn uingia makubaiano ambayo huyataki au huyapendi? Au unajua hana uwezo wala ataalamu wala vifaa kwa nn ukubali makubalianoo wakati unajua hana uwezo?
Km wazalendo je ni mara ya kwanza kenya na Tanzania kufungiana mikataba na kuvunjwa kihuni tangu mwaka 62?je ni mara ya kwanza tanzania na kenya kufunginiana mipaka tangu miaka ya 60?
Je tangu nchi hizi zimepata uhuru kuna anemsemea mwenzake mema?
 
We baki pima pima zenu huko.
 
We nyang'au hamna dereva wa Tanzania anayeogopakupimwa kenya,lakini kutokana na uzwazwa wenu wa rushwa kila mtanzania anaepimwa huko kwenu anaoenekana positive then akitoa sh 2 ya kenya anaruhusiwa kupita,kinachofanyika huko kwenu mnajenga mazingira ya rushwa ili mjikimu kimaisha na umaskini wenu,kumaliza usumbufu kila mtu abaki kwao, ..mbavu zenu
 
Madereva wa Tz wanasema nyang'au police wanakula sana rushwa ukiwapatia kitu kidogo unapita bila kupimwa na unahesabika huna Corona kabsaa
Wajinga rushwa imewatafuna hadi kwenye ubongo,kila mkenya hata aliezaliwa leo anapenda rushwa
 
Ninyi ambao watu wanauliwa kama wanyama wa porini na vyombo vya usalana lakini hakuna mtu hata mmoja anayewajibishwa, zaidi ya watu 2000 waliuliwa 2007 na hakuna mtu hata mmoja hadi Leo amewajibishwa, 2017 election zaidi ya watu 100 wameuliwa na hakuna aliyewajibishwa, katika kipindi hiki cha Corona zaidi ya watu 15 wameuliwa na hakuna mtu anayewajibishwa, Kenya is very primitive society, life is valueless, you can't compare with Civilized Tanzanians
 
Suala la kutukana nchi sio ustarabu..hakuna post ambayo imeandikwa vibaya....ni hoja kwa hoja
Hakuna mtu anamchagulie kiongozi nchi nyingine...kila nchi ina watu wake ustarabu wake...
 
Kama huku ni banana Republic huko mtakua mapera republic kaeni kwenu acheni shobo tutawawowa
 
Kama huku ni banana Republic huko mtakua mapera republic kaeni kwenu acheni shobo tutawawowa

Suala la kutukana nchi sio ustarabu..hakuna post ambayo imeandikwa vibaya....ni hoja kwa hoja
Hakuna mtu anamchagulie kiongozi nchi nyingine...kila nchi ina watu wake ustarabu wake...

suit yourself... we are never afraid of talking about our problems... nyinyi mnakuwanga denial mode through-out
 
ha ha deal with your moron leader please.
 
Huo ndio ujinga na upumbavu wenu tunaouzungumzia..ni wapi amesema Tanzania hakuna Corona?!?! Hiyo ni news story iliyoandikwa na mtu mjinga na mpumbavu Kama wewe...Rais hajawahi kusema Corona haipo...amesema maambukizi yamepungua...ndiyo maana waTZ bado wanachukua tahadhari kwa kunawa mikono, kutumia sanitizer, kuvaa barakoa na kadhalika..
Shule za primary na sekondari isipokuwa form six hazijafunguliwa kwa sababu Corona bado IPO...mmekaa na majungu tu kwa kuwa mna roho ya kishetani...JPM anajaribu Mara kadhaa kuwaondoa hofu wananchi kuhusu Corona kwani wanaweza wakafa kwa hofu...lakini hajawahi kusema Corona haipo Tanzania...for your information malaria hapa TZ na hata kwenu Kenya inaua Kila siku kuliko Corona...lakini nyie pamoja na mabeberu wenu hamjawahi kuja na statement ya kutaka data za malaria zitolewe Kila siku au Kila wiki....
 
Bado kidogo... dawa imeanza kuwaingia vizuri.

my country tanzania lacks educated citizensL so wewe unaona ni jambo la kufurahia apo? we both depend on each other, kuna mtu kupitia uhusiano wa tanzaia na kenya ndo anaendesha maisha yake, kuna mtu kenya antegemea tanzania kuendesha maisha yake na kuna mtanzania anaendesha maisha yake kupitia kenya! how is this even something unaweza sema comment kama hii
 
ha ha Rais wenu alisema hakuna Corona,
unataka nilete Video ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…