Madereva wa mabasi Stendi ya Magufuli, Mbezi wana kikao

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi.

Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali.

Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
 
Usijali ndugu yangu nchi imerudi mahali pake na kwa wenyewe walamba asali na kila mtu ni bosi na hakuna watakao wafanya chochote.

yaani hili Taifa iko siku itaenda chto kwenye kaburi la Magufuli kuomba msamaha maana haya mambo enzi za uhai wake yalikuwa hayasisiki kabisa na mgomo wa mwisho ulikuwa siku ile ya ukuta wa tope.
 
huku ukanda wa pwani naona mabasi ya kwenda nyanda za juu kaskazini yakikimbizanaaa ...... kuwahi tarekea/mochi na r-chugaa.... hawa jamaa waliwaza kutoondokea stendi ya mbezi asubuhii kutokana na vikao/migomoo
 
Usijali ndugu yangu nchi imerudi mahali pake na kwa wenyewe walamba asali na kila mtu ni bosi na hakuna watakao wafanya chochote.
yaani hili Taifa iko siku itaenda chto kwenye kaburi la Magufuli kuomba msamaha maana haya mambo enzi za uhai wake yalikuwa hayasisiki kabisa na mgomo wa mwisho ulikuwa siku ile ya ukuta wa tope.
Wewe utakuwa mgonjwa sio bure
 
usalama kwanza. unaweza kujifanya unawahi na ukawahishwa ahera.
 
Usijali ndugu yangu nchi imerudi mahali pake na kwa wenyewe walamba asali na kila mtu ni bosi na hakuna watakao wafanya chochote.

yaani hili Taifa iko siku itaenda chto kwenye kaburi la Magufuli kuomba msamaha maana haya mambo enzi za uhai wake yalikuwa hayasisiki kabisa na mgomo wa mwisho ulikuwa siku ile ya ukuta wa tope.
Nyie si ndiyo Zitto aliwashauri muende mkazikwe jirani yake kama kweli mna uchungu naye??
 
Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi.

Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali.

Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
Labda kikao cha ma Bus ya Abood tu mbona ma Bus mengine yapo njiani kibao tu? Na kumbuka Jana Bus Moja la Abood lilipata ajali maenneo ya kati ya mombo na same
 
Ni kawaida kila baada ya muda fulan kikao kinaweza kwenda mpaka saa 2 asubuh rai yangu waanze kikao saa 10 usiku
 
Back
Top Bottom