Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Lori nae angekuwa Moto tungesikia abiria wakisema dereva alikuwa high speedHatari sana kosa dogo tu watu wanageuka nyanya...
Unaharibu Uzi...!.nahis km ushalewaWeee?!! sema kweli
Zinachezewa hizo,Kuna mtu alinibishia sana hapa, i said ile ilikua project tu ya mtu sasa hivi mabasi wala hayana hio kitu, dah jamaa kanibishia ikabidi niwe mpole
Hahahaha ngoja turekebishe mambo fulani halafu twenzetu kule naniliu kule tanga.....Yanapiga maalarm balaa...tusafiri basi😔🤭
😄😄...!..dah ukanipaga ofa boss...itabidi uikamilishe tu kwakweli😛!Hahahaha ngoja turekebishe mambo fulani halafu twenzetu kule naniliu kule tanga.....
Hao abiria pia ni makengemaji sana. Jinga moja litawapelekaje kwa kasi kama limebeba nyasi?Afande ungewafungia milele kabisa
Matako yao hawa jamaa
Hawajui kuwa wanabeba roho za watu ila na huyo aliyerecodi huu ufirauni ajiandae kisaikolojia
Hahahah tatizo ulisemaga upo tight kuna mambo unayaweka sawa halafu utanistua..ukapoteaa maziimaaa😄😄...!..dah ukanipaga ofa boss...itabidi uikamilishe tu kwakweli😛!
🙌🙌!Hahahah tatizo ulisemaga upo tight kuna mambo unayaweka sawa halafu utanistua..ukapoteaa maziimaaa
Anhaa nilisikiaga na kwenye coaster pia wanazifungaga...I am not sure but nadhani ilikua ni mabasi tu ya mikoani
Hawabebagi roho wale.... wanabeba abiria🙂🙂 hivyo mwachege kuwasingiziaAisee yale matuta walikuwa wanaruka kama hawaja beba roho za watu.
Maleo[emoji28][emoji28]Inasemekana ligi wameanzia BUS SIMULATOR INDONESIA.
Kwenye huu uzi mzima hii ndio PointHii ni kwa sisi Watakatifu tu, sifa yake kubwa ni kuondoa stress, kusahau madeni na ada na kodi za nyumba
Kwenye huu uzi mzima hii ndio Point