Madereva wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation mbaroni kwa ku-bet na kufanya ligi barabarani

Madereva wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation mbaroni kwa ku-bet na kufanya ligi barabarani

Hongera kwa jeshi la polisi hao wahuni futia leseni kabisa.
Hayo mashindano wakafanyie kwa wake zao.Abiria nao ni kulaumiwa ilitakiwa wachapwe viboko kwa kushabikia kumrahisishia mtoa roho kazi.
 
Inawezekana walikuwa hawaja overspeed ila kosa la kutokuwa makini hasa kwa aliyekuwa anaovertake maana mbele kulikuwa na lori. Watu wahukumiwe kwa facts na sio kwa hisia. Huwezi kujua mwendokasi wa gari kwa kuangalia video. Suala mabasi kusema mfumo wa gps haufanyi kazi hilo halina hakika, maana nikiwa kama msafiri wa mabasi DAR to DOM to DAR siku zote mabasi yanakwenda vizuri,kimbinyiko, Shabiby na ABC, ni mtumiaji wa mabasi hayo
 
kiukweli speed 80kph ni ndogo sana, mabasi yangeruhusiwa angalau yafike 110kph. watu wanatumia muda mwingi barabarani. 110 basi bado ni controllable.
 
Mara nyingi ajali za mabasi ya abiria yakipata ajali shetani, kafara husingiziwa.

Mfano yale mabasi ya Rungwe na Happy Nation yangepata ajali na video isingetoka tungemsingizia Shetani na kafara.

Yanapotokea ajali tuacheni kumsingizia shetani Mungu atatuadhibu kwa uongo na hisia za uongo.
 
Back
Top Bottom