Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

Dah braza vipi ha ha ha....
Ukiwa na gari private afu kuna folen lazma umtaman dereva wa daladala anavopunga upepo nje kusubiri folen itembee huku abiria wanamlindia gari....[emoji28][emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hawajali maana madereva wa daladala wana ushirikiano mzuri
Na matrafik police,kumbuka daladala hizo daily wanatoa hela kwa traffic police

Ova
Ni kweli kabisa, mazoea haya yanafanya wanakuwa huru kuvunja sheria
 
Back
Top Bottom