Stephan Lichtsteiner JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 520 Reaction score 1,476 Sep 6, 2023 #21 Dah braza vipi ha ha ha.... Ukiwa na gari private afu kuna folen lazma umtaman dereva wa daladala anavopunga upepo nje kusubiri folen itembee huku abiria wanamlindia gari....[emoji28][emoji28]
Dah braza vipi ha ha ha.... Ukiwa na gari private afu kuna folen lazma umtaman dereva wa daladala anavopunga upepo nje kusubiri folen itembee huku abiria wanamlindia gari....[emoji28][emoji28]
ozigizaga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 701 Reaction score 1,703 Sep 6, 2023 #22 Half american said: Kwenye foleni ataondoaje gari endapo gari ya nyuma imefeli breki? Na akiiondoa ataipeleka wapi? Click to expand... mimi pia nimejiuliza hili mkuu. Asante
Half american said: Kwenye foleni ataondoaje gari endapo gari ya nyuma imefeli breki? Na akiiondoa ataipeleka wapi? Click to expand... mimi pia nimejiuliza hili mkuu. Asante
Ghost MVP JF-Expert Member Joined May 19, 2022 Posts 439 Reaction score 736 Sep 25, 2023 Thread starter #23 mrangi said: Hawajali maana madereva wa daladala wana ushirikiano mzuri Na matrafik police,kumbuka daladala hizo daily wanatoa hela kwa traffic police Ova Click to expand... Ni kweli kabisa, mazoea haya yanafanya wanakuwa huru kuvunja sheria
mrangi said: Hawajali maana madereva wa daladala wana ushirikiano mzuri Na matrafik police,kumbuka daladala hizo daily wanatoa hela kwa traffic police Ova Click to expand... Ni kweli kabisa, mazoea haya yanafanya wanakuwa huru kuvunja sheria