Anaenda ya Arusha sio 😂Hongera sana mkuu kwa kutekeleza agizo la waziri mkuu Kassim Majaliwa kwenda kujiunga Veta.
Umechagua fungu jema!
Bila shaka kabisa 🤣Anaenda ya Arusha sio 😂
Vokesheni inalipa sana 😂Bila shaka kabisa 🤣
Hapo office za Tilisho waone mimi nimesafirisha hapo mwaka janaHabari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
Uki kosa nenda pale jangwani, Kuna malory mengi uta pata chap
Hapo office za Tilisho waone mimi nimesafirisha hapo mwaka jana
siyo kweli mimi nilisafirisha mizigo mingi pamoja na fredge na vitanda na nikalipa 80,000/= tuu hakuna gharama kaongee nao kwanza au nikutumie namba ya agentKwa basi si ni gharama zaidi boss?
Naomba namba ya agent mkuusiyo kweli mimi nilisafirisha mizigo mingi pamoja na fredge na vitanda na nikalipa 80,000/= tuu hakuna gharama kaongee nao kwanza au nikutumie namba ya agent
0768 059023 NellyNaomba namba ya agent mkuu