Madereva wa malori ni wasaliti sana na wengi wao hawawaridhishi wake zao. Sasa inabidi tuwasaidiye?

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Kutokana na kusafiri maeneo mengi na kuona vwanawake wengi hali hii imepelekea hawa watu kuwa malaya na wanahonga sana malaya wa njiani kuliko huduma nyumbani kwao.

Hao watu kutowa hela za posho ya safari aweke malaya anayetembea naye kwenye gari kwao si jambo geni,wanafanya matumizi ya anasa ndiyo mana wengine posho hazitobowi safari.

Mke halali wa nyumbani anahali ngumu na hata haridhishwi kimapenzi kwakuwa anawanawake wengine huwakamuwa sana
 
Da wake wa dereva malori wanaliwa sana Aise, kuna mmoja yupo mtaani hapa analiwa kama tambi 😁😁😁
 
Hujakuwa ww.......wewe unavyo fikiri wanapenda kuwa mbali na wake zao? Halafu kumgonga mke wa mtu sio ujanja, wanawake wote walio kuwepo hawa huwaoni au ndio kupenda kitonga, kwani unajua mwenye mke anagharamia then ww unateleza. Mwanaume majukumu, tafuta wako then uoneshe uwanaume wako wako.
 
Kutokana na kusafiri maeneo mengi na kuona vwanawake wengi hali hii imepelekea hawa watu kuwa malaya na wanahonga sana malaya wa njiani kuliko huduma nyumbani kwao.

Hao watu kutowa hela za posho ya safari aweke malaya anayetembea naye kwenye gari kwao si jambo geni,wanafanya matumizi ya anasa ndiyo mana wengine posho hazitobowi safari.

Mke halali wa nyumbani anahali ngumu na hata haridhishwi kimapenzi kwakuwa anawanawake wengine huwakamuwa sana
Wake wa Madereva wana umeme kumbuka! Nenda ukaungue
 
Acha tu mkuu, ndoa za mkoa na mkoa zina shombo ya samaki...
Mtu anaishi kwenye gari mwezi namanisha yupo safari anashawishika kutembea na kimada huko tena si mmoja wengi kwa nyakati tofauti.
 
Balaa sana mkuu, Masuala ya Ndoa haya tuyaache kama yalivyo
 
Sidhani kama kila mtu anastahili kuoa kuna kazi nyingine ukifanya hakuna haja kuoa maana ni mateso tu.
 
Back
Top Bottom