Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

Vita sio vizuri hay mama waziri w ulinzi tunaomb action sio tamko huo ndo mda wa kutuprove wong
 
Msaada si ndugu zetu wa kuvunja tofali kwa mkono wamekuja huko 😜
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ni rahisi sana, mamlaka zikifanya mawasiliano na Munisco, RPF na M23 kupitia PK mwenyewe jamaa wanaweza kuwatoa kwa escort na bendera nyeupe.
 
Shida wa kiwasaidia mwenyewe sasa yupo busy kuwaza uchaguzi na kutandaza magari ya jeshi mjini..wao si wababe wakawakomboewaTZ Goma hapo na sio kutisha rai wema mtaani..useless gvtmnt
 
Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma.

View attachment 3215722

Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
Hapa hawajificha bana. Yaani mkae chini ya magari ndo iwe kujificha 😂😂. Waseme tu eanahofu wanahitaji msaada.

Maana hawajasema waasi kama wanawaua, wanawateka ama wamewazuia kusafiri. Wabongo sisi waoga sana.
 
Hii vita inaweza kupanuka Afrika Mashariki na kati hatari ilipofikia Diplomasia itumike pia
 
Kama Sudan nchi yetu ilifanikiwa kuwasafirisha watanzania kwa mabasi mpaka sehemu salama kisha wakapanda ndege mpaka bongo...DRC sio mbali naamini inawezekana kuwatoa hao ndugu zetu
 
Wasalaam


Kuna hawa watanzania inasemekana wametekwa au wameshauwa na waasi m23
 

Attachments

  • VID-20250128-WA0002.mp4
    6.3 MB
Back
Top Bottom