Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

Kwani mlipoenda huko na huku mkijua Kuna vita mliomba USHAURI kwa serikali??
Akili huna wewe
Kuna watan,ania wenye biashara zao na fursa na maisha nje ya nchi na shughuli zao na makazi yao Goma

Vita imewakutia huko

Utafia Tanzania na ulofa wako wa kutothubutu kwenda kutafuta maisha nje ya nchi

Una pepo la umaskini
 
Madereva na wamiliki wa malori na diaspora ya watanzania popote ulimwengu.

Muwe mnasoma habari za kina ambazo kiuhakika ni zao la kiintelejensia zinazoandikwa hapa JamiiForums.

JamiiForums ni media kubwa kama Reuters, CNN, BBC, YouTube n.k kwa habari za uhakika ili mfanye maamuzi sahihi popote ulimwengu kwa muda ulio sahihi.

Serikali huwa ina umangi meza hivyo kutoa habari huchukua muda mrefu kufikia raia wake walio nje ya Tanzania
 
Madereva 47 kutoka Tanzania Wamelokolewa na M23, Wakimbilia Rwanda Kusubiri Msaada wa Kurudi Nchini
 
Back
Top Bottom