Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

Vita sio vizuri hay mama waziri w ulinzi tunaomb action sio tamko huo ndo mda wa kutuprove wong
 
Msaada si ndugu zetu wa kuvunja tofali kwa mkono wamekuja huko 😜
 
Reactions: K11
Ni rahisi sana, mamlaka zikifanya mawasiliano na Munisco, RPF na M23 kupitia PK mwenyewe jamaa wanaweza kuwatoa kwa escort na bendera nyeupe.
 
Shida wa kiwasaidia mwenyewe sasa yupo busy kuwaza uchaguzi na kutandaza magari ya jeshi mjini..wao si wababe wakawakomboewaTZ Goma hapo na sio kutisha rai wema mtaani..useless gvtmnt
 
Hapa hawajificha bana. Yaani mkae chini ya magari ndo iwe kujificha πŸ˜‚πŸ˜‚. Waseme tu eanahofu wanahitaji msaada.

Maana hawajasema waasi kama wanawaua, wanawateka ama wamewazuia kusafiri. Wabongo sisi waoga sana.
 
Hii vita inaweza kupanuka Afrika Mashariki na kati hatari ilipofikia Diplomasia itumike pia
 
Kama Sudan nchi yetu ilifanikiwa kuwasafirisha watanzania kwa mabasi mpaka sehemu salama kisha wakapanda ndege mpaka bongo...DRC sio mbali naamini inawezekana kuwatoa hao ndugu zetu
 
Wasalaam

Your browser is not able to display this video.

Kuna hawa watanzania inasemekana wametekwa au wameshauwa na waasi m23
 

Attachments

  • VID-20250128-WA0002.mp4
    6.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…