Madereva wa private: Arusha/ Moshi na Tanga mnakaribishwa kupata chakula kwenye hoteli ya Drive in Lodge Msata

Madereva wa private: Arusha/ Moshi na Tanga mnakaribishwa kupata chakula kwenye hoteli ya Drive in Lodge Msata

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Drive in lodge msata inayopatikana barabara ya Bagamoyo,inakujulisha wewe dereva wa gari ya kukodiwa au gari ndogo uwapo Safari na UNAHITAJI huduma za chakula, vinywaji au malazi, karibu Sana hotelini.

Kwa dereva wa coster utapata chakula,maji na kifuta jasho abiria watapokula au kununua vinywaji.

Pia tunatengeneza supu ya kuku kienyeji, mchemsho wa samaki kwa order ambayo unatakiwa utupigie simu mapema 0655605998 saa moja na nusu kabla hujafika hotelini.

Vyakula vilivyopo
Chips kavu, Kuku kienyeji, kuku kisasa, mishikaki, ndizi, makange, ugali, wali, sausage, mayai, maandazi, pan cake, chapati na n.k

Chakula chochote utakacho unaweza pata kwa order maalumu ya simu.
KARIBUNI SANA DRIVE IN LODGE.

7556.jpg
7567.jpg
7567.jpg
580.jpg
 
Ile barabara ya kuingia mshamwaga kifusi?
 
Back
Top Bottom