Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 274
Madereva wa malori yanayotumia bandari ya Dar es Salaam waandamana kulalamikia ucheleweshaji wakushgulikiwa taratibu za mizigo yao na kusababisha kukaa muda mrefu mpaka wa zaidi ya siku moja bandari na wakidai kuwa ucheleweshaji huo ni scanner za humo kutofanya kazi Kwa ufanisi kwa lisaa moja wanascani gari chini ya 50
Na wanadai pesa yao ni kutokana na ubebabaji wa kontena tatizo la scanner lipo geti namba 5 na 7/6
Na wanadai pesa yao ni kutokana na ubebabaji wa kontena tatizo la scanner lipo geti namba 5 na 7/6