Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mradi wa usafirishaji wa abiria ujulikanao kama TAXIFY ulionekana kama mkombozi wa abiria kwa Mwanza kama ilivyo UBER Kwa Dar es salaam.
Lakini jambo LA ajabu kwa wiki nzima sasa hali imebadilika na kuwa hovyo kabisa kiasi kuwa watu wamekata tamaa nao.
Mtu aki request anaambulia majibu huko mbali siji, wewe unakwenda wapi wakati mtandao unamuonyesha niendako na kero kadha wa kadha.
Jee mradi umeshindwa au ni hujuma?
Kwa nini mambo ya kisasa nchi hii huwa yanakwama au kukumbana na vikwazo?