Madereva Wakwamisha Mradi wa Taxify Mwanza

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
861
Reaction score
2,515
Mradi wa usafirishaji wa abiria ujulikanao kama TAXIFY ulionekana kama mkombozi wa abiria kwa Mwanza kama ilivyo UBER Kwa Dar es salaam.

Lakini jambo LA ajabu kwa wiki nzima sasa hali imebadilika na kuwa hovyo kabisa kiasi kuwa watu wamekata tamaa nao.

Mtu aki request anaambulia majibu huko mbali siji, wewe unakwenda wapi wakati mtandao unamuonyesha niendako na kero kadha wa kadha.

Jee mradi umeshindwa au ni hujuma?

Kwa nini mambo ya kisasa nchi hii huwa yanakwama au kukumbana na vikwazo?
 
Hahahaaa majibu ya madere wa kisukuma yameniacha hoi.
 
Unazungumzia Taxify kama vile Mradi wa Halmashauri. Kwa ushamba wa wasukuma bora Wangeachana na mambo ya taxify huko mwanza
 
Tangu wamepunguza bonus jumanne iliopita , ndipo habari ilipoishia, madereva wanasubiri uber ila taxify hailipi kwa sasa.
 
Hata uber yenyewe kimeo ofa kibao safari ya 25,000 airport/JNIA to tegeta unalipwa 2,000 ukiuliza wanadai ofa
 
Hiyo Taxify sio level yao, labda ingekuwa Bajajfy ndo ingefaa kwa Mwanza. Vitu vingine tunalazimisha lakini mda wake bado.
 
Shida ya taxify wanajiangalia wao kujitanua kibiashara at the expense ya dereva. App yao inasehemu ya kuset radius ya mahali dereva alipo ndo wamtaftie abiria, mfano dereva akiset radius ya 2 km zone, anategemea atafutiwe abiria ktk hilo eneo. Cha kushangaza taxify hawaheshimu hilo, unakuta mtu upo ubungo wanakupatia abilia aliyepo Tegeta au Bunju. Ukifika huko kumbe abiria mwenyewe anakwenda sehemu ya sh. 3,000. Sana Nani atafidia gharama za mafuta? Ndo maana cancelled trips zinakuwa nyingi na madereva kuishi kufungiwa mara kwa mara
 
UBER na TaXIFY kwa mazingira ya kibogo hawatadumu miaka mitatu ijayyo
 
Mi nadhani wanatakiwa wasimamiwe na SUMATRA ili na wao wapewe Bei elekezi. Hawawezi kijifanyia wanavyotaka kwa kuwanyonya madereva na wenye vyombo vya usafiri
 
Na sasa hivi wameanza wizi wa kuaminika kabisa. Mfano Dereva yuko point A abiria point B na uendako PointC.
Uki request anakuambia ana kuja kisha ana cancel kisha anakuambia omba upya na anaanza kuhesabu safari yako from A to C unakoteremka, akiita bill unashangaa
 
Back
Top Bottom