Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Hahahaaa majibu ya madere wa kisukuma yameniacha hoi.Mradi wa usafirishaji wa abiria ujulikanao kama TAXIFY ulionekana kama mkombozi wa abiria kwa Mwanza kama ilivyo UBER Kwa Dar es salaam.
Lakini jambo LA ajabu kwa wiki nzima sasa hali imebadilika na kuwa hovyo kabisa kiasi kuwa watu wamekata tamaa nao.
Mtu aki request anaambulia majibu huko mbali siji, wewe unakwenda wapi wakati mtandao unamuonyesha niendako na kero kadha wa kadha.
Jee mradi umeshindwa au ni hujuma?
Kwa nini mambo ya kisasa nchi hii huwa yanakwama au kukumbana na vikwazo?
Hata uber yenyewe kimeo ofa kibao safari ya 25,000 airport/JNIA to tegeta unalipwa 2,000 ukiuliza wanadai ofaTangu wamepunguza bonus jumanne iliopita , ndipo habari ilipoishia, madereva wanasubiri uber ila taxify hailipi kwa sasa.
UBER na TaXIFY kwa mazingira ya kibogo hawatadumu miaka mitatu ijayyoShida ya taxify wanajiangalia wao kujitanua kibiashara at the expense ya dereva. App yao inasehemu ya kuset radius ya mahali dereva alipo ndo wamtaftie abiria, mfano dereva akiset radius ya 2 km zone, anategemea atafutiwe abiria ktk hilo eneo. Cha kushangaza taxify hawaheshimu hilo, unakuta mtu upo ubungo wanakupatia abilia aliyepo Tegeta au Bunju. Ukifika huko kumbe abiria mwenyewe anakwenda sehemu ya sh. 3,000. Sana Nani atafidia gharama za mafuta? Ndo maana cancelled trips zinakuwa nyingi na madereva kuishi kufungiwa mara kwa mara
Mi nadhani wanatakiwa wasimamiwe na SUMATRA ili na wao wapewe Bei elekezi. Hawawezi kijifanyia wanavyotaka kwa kuwanyonya madereva na wenye vyombo vya usafiriUBER na TaXIFY kwa mazingira ya kibogo hawatadumu miaka mitatu ijayyo