Madereva wanahitajika MSD

Madereva wanahitajika MSD

Kwanini mkuu, huwezi kupiga kirungu cha LX nini?

Halafu mostly sidhani kama ni LX mkuu...! Na ndio mana naona wameweka C & E ikiwa ni kigezo cha DL kiongozi.

Sio kuwa hakuna LX zipo ila yabidi uwe vizuri pia kwenye Truck chief...!
 
Halafu mostly sidhani kama ni LX mkuu...! Na ndio mana naona wameweka C & E ikiwa ni kigezo cha DL kiongozi.

Sio kuwa hakuna LX zipo ila yabidi uwe vizuri pia kwenye Truck chief...!
Hio C na E, Nazijambia tu kwenye Wallet, kazi hakuna, natafuta mpaka natamani kuingia hata nyumba binafsi

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Daaaaah, ungekuwa na cha four na cha ufundi usingetaabika kihivyo mkuu. Fanya mchakato wa kupata hivyo vitu hata kama utatumia miaka mitatu au minne ila matunda yake utayaona mkuu.
Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom