mrackkiramadhani
Member
- Apr 28, 2019
- 54
- 110
Itakuwa mkoaniKwa dar 300k 400k haitoxhi aisee life ni expensive sanaa.
Tuma maombi ameweka no ya WhatsappNafasi bado ipo naitaji
Sawa, endelea kuhitajiNafasi bado ipo naitaji
Tena hiyo ya bodaboda itakiwa poa maama mie naja na piki piki yangu kabisa.
Chapu sasa omba wakati ni huu zabzab πTena hiyo ya bodaboda itakiwa poa maama mie naja na piki piki yangu kabisa.
Kama keaho delivery boys wataenjoy sana kupeleka gifts na baadae watu wa bold kesho full shangae kube ewarembo kupelela machinjoni
Ngoja nipate kazi kwanza wanidai kiasi gani?Chapu sasa omba wakati ni huu zabzab π
Hela yangu usisahau
Leo nilikuwa posta lkn walipita hapo ..Ngoja nipate kazi kwanza wanidai kiasi gani?
Leo mishangazi haijaja happ kwako kweli
utakii dalali wa posta300-400k π€
8mara tatu ni 24...so 240k...mwee piece of cake....hiyo nakupa kama nimesimama vilejmosi nipo duka i kwako hapoLeo nilikuwa posta lkn walipita hapo ..
5k plus lunch sinza unajua bei 3k =8k π
Hakuna mshahara unaotoshaga mkuu, hiyo 400K ni ndogo ila ni kubwa muulize jobless Intelligent businessman mtaa ulivyo mweupeKwa dar 300k 400k haitoxhi aisee life ni expensive sanaa.
watu wako serikalini na Wana kula posho 10k kudadadeki.Hakuna mshahara unaotoshaga mkuu, hiyo 400K ni ndogo ila ni kubwa muulize jobless Intelligent businessman mtaa ulivyo mweupe