Madereva wanaitajika

Madereva wanaitajika

Joined
Apr 28, 2019
Posts
54
Reaction score
110
Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k
Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am
 
Mkafanikiwe

mzabzab uombe hiyo nafas nadhani kwenye delivery hutokosa mishangazi
Tena hiyo ya bodaboda itakiwa poa maama mie naja na piki piki yangu kabisa.
Kama keaho delivery boys wataenjoy sana kupeleka gifts na baadae watu wa bold kesho full shangae kube ewarembo kupelela machinjoni
 
Back
Top Bottom