Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Kamarada

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
253
Reaction score
161
UMOFIA KWENU!

Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz.

Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni:

1 - Vijana wa kiume
2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana.
3 - Over speeding hata kama anapokwenda ni karibu ama haparuhusu over speed
4 - Wapo arrogant/wakorofi/ hawanaga ustaarabu
5 - Wanapenda sana 'Ligi' za barabarani
6 - Wanapenda sana starehe/ kujirusha
7 etc...

Hayo ni kwa mtizamo wangu. Ukitoa mtizamo wako pia tunaweza kuwasaidia wachache ambao ni wasikivu wakabadilika, kupunguza ajali za barabarani na kuleta ustawi kwa jamii.

NAWASILISHA
 
Sina hiyo sifa namba moja, hivyo sifa zote zinazofuatia sina nazo vilevile. Ni mwanaume Ila sio makuzi, sifa zinazofuatia zinategemea kwa kiasi kikubwa sifa namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…