Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Ni kwel nakumbuka nilikuwa na jamaa wangu mmoja hivii mshabiki wa Simba ana Altezza yake.
Yani alikuwa anapenda tunyanduane sana I remember Accidental Once tuli.... Kwnye gar yake huku Ac ikipuliza.
Kimsing I appreciate Altezza
 
Kumbe huyu jamaa ndo aliku*******a kwenye hiyo gari yake(Tezza) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Accidentally
Hongera sana mkuu
 
Wengi wao ni Wala milungi pia
 
Kuna kikundi kinajiitaga team alteza vikisafirigi mwisho wa mwaka toka dar ni fujo tu njiani viko Kama 15 hivi kila sehemu vinalewa
 
Wapi naweza pata Engine ya Altezza Yamaha 3SGE yenye 4 Transmission
 
Alteza kelele nyiingi lakini hamna kitu japo zipo baadhi zenye injini yenye hp 210
 
Kuna dogo aliku alteza ya blue, nyuma kwenye boot, wemejengea lichuma mfano wa goli vile.
Pale Tiptop kituo cha mwendo kasi, mimi nikiwa napita, njia kulia yeye anapita njia kushoto, pale kituoni akakuta Daladala imesimama, akaingia upande wangu gafla bila hata ishara yeyote.
Aliikwangua gari yangu na kuniachia rangi yake ya blue, na baada ya kutenda kosa alikimbia.
Kweli wengi wanafujo barabarani hawana tahadhari, nazani ule muungurumo wa gari zao unawazingua.
 
Ile kelele ndo mzuka sasa. Unaendeshaje gari imetuliaa. We mwenyewe ukiwa faragha si unapenda bebe atoe miguno? Basi ndo hivo hivo kwetu pia na subaruu na makeleelee
 
Vitu tofauti tofauti vya after market unabadilisha exhaust, unaweka muffler, unatia Blow off valve (BOV) unaanza kumwaga motoo tuu na makelele ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…