Hehe hili jambo la kenya kufunga mpaka linawauma sana! Sasa kila mtanzania ni povu na mihemkoKenya should brace for impact njaa itawaua
Jipe moyo kwa porojo ila hatuwaruhusu watanzania wenye corona kenyaWananchi wa Kenya wanamlaani sana Rais wao wanaomba hata tubadilishane na viongozi wao wa juu wote tuwape Magufuli wetu!! Chuki zao hazisaidii wao wanawaza kupiga hela za IMF na Mikopo ya Corona ya World Bank ambayo haimfikii mwananchi wa chini zaidi ya kumpima tu na kumfungia ndani na kutuma idadi kwa mabwana wakubwa wao wawape hela zingine huku walala hoi wakifa kwa njaa!! Mungu anawaona kwa kweli
Kumbuka nzige na mafuriko yamewapiga sana huko kenya so soon njaa itawapiga mtachemsha mawe sisi huku mahindi tunalishia nguruwe ha ha ha ha ha na kuku.Alafu tuna nchi 8 tunafanya nazo biashara kama kawa na kesho tunafungua tourism ndege toka ulaya zimejaa mpaka mwezi wa nane wote wanakuja kutalii tanzania nyie endeleeni kupambana na corona wakati New York wenyewe wamechemsha wamefungua mjiHehe hili jambo la kenya kufunga mpaka linawauma sana! Sasa kila mtanzania ni povu na mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangapi wamepimwa Hadi sasa huko Bongo?Nyie wanafiki mtu akipimwa kenya vipimo vinasema ana korona akija kupima tanzania anakutwa hana alafu mbona hamtaki kufuata takwimu alizotoa rais jana kuwa maambukizi yameshuka sana tanzania
Izo namba hazina maana yoyote hamna mtu anayekufa kwa corona huku na mambo yanaenda kama kawaida New York wenye maambukizi makubwa kuliko nyinyi kenya wamefungua mji wao nyie ndio mnajifanya mnajuuua mtakula mawe mwaka huu na nzige ziliwapiga mwaka huu na mafuriko juuWangapi wamepimwa Hadi sasa huko Bongo?
Ila New York Ina statistics za covid-19 infections, ya Bongo iko wapi?Izo namba hazina maana yoyote hamna mtu anayekufa kwa corona huku na mambo yanaenda kama kawaida New York wenye maambukizi makubwa kuliko nyinyi kenya wamefungua mji wao nyie ndio mnajifanya mnajuuua mtakula mawe mwaka huu na nzige ziliwapiga mwaka huu na mafuriko juu
Nyerere mwenyewe alifunga mpaka wa Tanzania na Kenya.Tanzania tulikuwa na viongozi wakati wa Mwl Nyerere,waliofuata baada ya hapo ni Magarasa tu.
Hamna kitu!!
Wamebaki wanaopima mbuzi na mapapai,kuna nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na manamba mkuu angalia watu wanaokufa kwa corona hapo mtaani kwenu au unawafahamu ni wangapi utakuta hakuna rais jana kasema namba ya wagonjwa imepungua na takwimu katoa ila hutaki kuamini shida unategemea tufe milioni ndio ufuraiIla New York Ina statistics za covid-19 infections, ya Bongo iko wapi?
Dah...watafiti wanasema kujifungia ndani kunasababisha mwili kukosa uzoefu wa kupambana virus....hivyo wale wanaotoka lockdown wategemee kuathiriwa kwa urahisi na virus mbali mbali ambao hapo awali waliweza kuwahimili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunafanya kosa kubwa sana kuvaa mask na kuhangaika kupita kiasi kujilinda na corona. Corona ni virus ambao hawawezi kuingia kirahisi kwenye mwili wa mtu mwenye kinga madhubuti, na vitu vinavyosaidia kubomoa kinga mwili ni pamoja na hofu na kupungukiwa kiasi cha oksjeni mwilini. Inasikitisha kwamba wataalam wetu wamelala kuelimisha watu juu ya kupandisha kinga ya mwili kupitia Chakula na tumaini yaani kuondoa hofu ambapo Raisi was Tanzania amekuwa akifanya siku zote. Muda unaongea, Corona ni ugonjwa mdogo sana.
Umesema vema, issue ni watu kujua ukweli wa ugonjwa wenyewe. Nahisi kwamba WHO ina agenda ya siri kuhusu ugonjwa huu. Fuatilia kama Raisi Magufuli, Trump pamoja na wasaidizi wao wa karibu kama wanavaa mask. Mask ni ujinga mwingine unaotakiwa kukemewa kwa nguvu.Dah...watafiti wanasema kujifungia ndani kunasababisha mwili kukosa uzoefu wa kupambana virus....hivyo wale wanaotoka lockdown wategemee kuathiriwa kwa urahisi na virus mbali mbali ambao hapo awali waliweza kuwahimili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Wananchi wa Kenya wanamlaani sana Rais wao wanaomba hata tubadilishane na viongozi wao wa juu wote tuwape Magufuli wetu!! Chuki zao hazisaidii wao wanawaza kupiga hela za IMF na Mikopo ya Corona ya World Bank ambayo haimfikii mwananchi wa chini zaidi ya kumpima tu na kumfungia ndani na kutuma idadi kwa mabwana wakubwa wao wawape hela zingine huku walala hoi wakifa kwa njaa!! Mungu anawaona kwa kweli
I am really not getting it. Guys think they feed usHehe hili jambo la kenya kufunga mpaka linawauma sana! Sasa kila mtanzania ni povu na mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachojua ni kwamba hao madereva hawan Corona kama Kenya inavyotaka kuiaminisha dunia,nyinyi endeleeni,sisi hatuna haraka,just inferiority complex ina wasumbua!
Dah...watafiti wanasema kujifungia ndani kunasababisha mwili kukosa uzoefu wa kupambana virus....hivyo wale wanaotoka lockdown wategemee kuathiriwa kwa urahisi na virus mbali mbali ambao hapo awali waliweza kuwahimili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
kwahiyo alikufa??Boris PM wa UK alisema hivyo hivyo watu wasijifungie ndani mwili uzoee virusi sijui nini mara paap kajikuta ICU mpk leo hajarudia kuongea hizo habari,kawa wa kwanza kukomalia Lockdown.
Hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona yenyewe.Boris PM wa UK alisema hivyo hivyo watu wasijifungie ndani mwili uzoee virusi sijui nini mara paap kajikuta ICU mpk leo hajarudia kuongea hizo habari,kawa wa kwanza kukomalia Lockdown.
Ndio alikufa na majuzi alionekana akicheza mpira,uzuri si unajua tena bongo tuna ma ventilators ya kutosha kila dispensary/hospital na health system yetu ni bora kuliko ya UK.kwahiyo alikufa??
Inawezekana PM wa UK mwenye access ya best doctors/health facilities alikua na hofu kuliko wananchi wa kawaida wa huku kwa mama Zakaria.,hahah.Hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona yenyewe.