G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Mambo mengi ni uongo tu nyie nae..kwanza mleta mada huyu nishaanza kumsitukia siku hizi atakua ni mKenya au ni kati ya wale waliobanwa na JPM kwa kula hela za wananchi..hatujapata Corona kwenye mabasi na minada waje wapate madereva wa maroli ilihali dereva anasafiri akiwa peke yake au na tingo wake tu,vitu vingine ni vya kushughulisha akili tu. mbona Maralia hamuisemi ilihali inaishi Afrika hapa miaka nenda rudi na inaua.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
If we keep acting normally
This disease will act Abnormally
Kama unashindwa kuzuia waliopata ugonjwa wasisambae Tanzania unatagemea nini kifuatacho?
Hiyo ni sample ya Truck drivers tu
Think BIG
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature