Ni kweli Mkuu
Magari ya STL etc yana fujo sana barabarani kama vile wao wana haki ya kuvunja sheria.
Barabara za mwendokasi wamo si polisi si STL'zzz
Mnakera sana.
Kumbukeni ni pesa za walipa kodi mnazochezea na kuwadharau.
Heshimuni kazi zenu na wanaowalipa mishahara ambao ni walipa kodi wengi hata baiskeli hana.
Sheria zipo kwa wote
Siku mkipopolewa mawe na wahuni msishangae. Watu wamechoka ninyi mnawaona mabwege nyie haya tu.