Madereva ya serikali fuateni Sheria pia

Madereva ya serikali fuateni Sheria pia

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Siku hizi magari ya serikali yanapota kokote, popote kwa namna yoyote wakati wowote bila ovyo wala wala kalipio toka Kwa yeyote.

Kwani Sheria za barabarani zinasemaje kuhusu vyombo vya moto vya serikali kama za viongozi na majeshi?
 
Ni kweli Mkuu
Magari ya STL etc yana fujo sana barabarani kama vile wao wana haki ya kuvunja sheria.
Barabara za mwendokasi wamo si polisi si STL'zzz
Mnakera sana.
Kumbukeni ni pesa za walipa kodi mnazochezea na kuwadharau.
Heshimuni kazi zenu na wanaowalipa mishahara ambao ni walipa kodi wengi hata baiskeli hana.
Sheria zipo kwa wote
Siku mkipopolewa mawe na wahuni msishangae. Watu wamechoka ninyi mnawaona mabwege nyie haya tu.
 
Back
Top Bottom