Chekthis... might help
1.Nenda filestube au click apa:FilesTube - Search & Download Files then search for"roger cpa review pdf" utadownload, japo ni cpa ya marekani ila most of the topics ni the same esp financial reporting
nimeshindwa kuzia access hizo site ka vip nitumie kwenye email yangu hayo mdesa ka unazo
Nasikia hiyo CPA nibiashara ya NBAA, wanafaulu wachache sana wahasibu wengi wamekata tamaa kufanya mitihani wana opt kufanya MBA