Madesa ya CPA au notes za CPA

Madesa ya CPA au notes za CPA

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Hello ndugu zangu wana JF nawaombeeni mwenye madesa au note za cpa ya soft copy anisaidie niweze kuzipata. Natanguliza shukrani zangu
 
CPA pana na ina level nyingi....inabidi ustate unafanya module gani...na unataka notes za masomo gani
 
Nashukuru kaka kwa kuiweka hili sawa,nahitaji module e and f i mean the final stage notes zote.shukran
 
nimeshindwa kuzia access hizo site ka vip nitumie kwenye email yangu hayo mdesa ka unazo

Nasikia hiyo CPA nibiashara ya NBAA, wanafaulu wachache sana wahasibu wengi wamekata tamaa kufanya mitihani wana opt kufanya MBA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasikia hiyo CPA nibiashara ya NBAA, wanafaulu wachache sana wahasibu wengi wamekata tamaa kufanya mitihani wana opt kufanya MBA

huu ni uposhwaji..NBAA wanatunga mitihani iliyo standard. Wanataka kupata watu ambao kweli ni proffessionals. Wanaofeli wengi ni wale ambao degree zao walizipata kimchoro mchoro.
 
Back
Top Bottom