madesigner wa nguo wakubwa tanzania! tujivunie majembe yetu

madesigner wa nguo wakubwa tanzania! tujivunie majembe yetu

Ahsante sasa nguo zao wanauza sh ngapi?nasikia hata yule muhindi mwembamba ar naye aliwa
ni kweli uwafahamu!!!!!!

huyo wa kati ni Rio Paul......mwenye koti jeusi na suruali Nyekundu anaitwa Joel..........
 
Ila rio anaonekana wa kishua,nilimuonaga mlimani wakat wa uzinguz wa filamu ile ya james bond,dah yaan kapinda hatar mtoto wa kiume,sema hadhi yake sio ya kitoto,yule mtu mkubwa,maisha yake si haba
 
Ila rio anaonekana wa kishua,nilimuonaga mlimani wakat wa uzinguz wa filamu ile ya james bond,dah yaan kapinda hatar mtoto wa kiume,sema hadhi yake sio ya kitoto,yule mtu mkubwa,maisha yake si haba
Jamaa wa kishua sana
 
Nasikia hao ni gays wa bei mbaya,uchukui ovyo ovyo kama wale wa magomeni,kuna mama mmoja iv yupo marekani ndo anayewatafutiag wateja,yaan apo hasara tu,kidotu nae nae nasikia ni kuwadi nambar moja kwa hao machoko

Acha uzushi kaka.mbona wanna mademu
 
Hao ni open gays kaka, acha kujilazimisha kuwa uelewi wakati picha yenyewe au hata ukibahatika kuwaona tu utajua kuwa si rizki..

Mbona wapo poa tu jamani
 
Mi uyo rio sura yake tu inanifanya nitabasamu siku nzima
 
huyo rio paul huitaji diploma kujua kuwa usalama wa jinsia upo matatani
 
Serious dude?

Mimi mambo yote nayapata uko boston, marekani, kuna jamaa yangu anaishi uko, masiri yote ya wasanii na baadhi ya viongozi waendao uko anayo, wakija uku mi nawachora tu wanavyoropoka ovyo,kule ndo awajifichi kabisa,halaf nasikia kuna mama mmoja ivi anaishi uko ulaya na yeye sio mtu mzuri kabisa ni kuwad hatari,anauza vijana, kama unaenda huna makazi mbona utafurah na roho yako
 
Rio huwa anaendeshwa kwenye jiRange Rover Jeusi T ----
 
Back
Top Bottom