Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

kama unaweza kuachana na huyo binti fanya hivyo mapema sana.Kuna muhenga amewahi kuniambia kuwa kabla hijamuoa binti yeyote jitahidi sana uisome tabia ya mama yake kwa maana siku ukimuoa huyo binti mambo anayoyapitia baba mkwe wako kwa mama mkwe wako nawewe yatakutokea vile vile.
 
Hao watu ni complicated sana, utapigwa na kitu kizito kichwani muda sio mrefu.
 


Watoto hawapaswi kuoa, ngoja ukue kidogo, ukiingia kwenye ndoa na huo Mtazamo, ndoa itakushinda baada ya week 3.
 
Katika kabila ambalo halitupi mtoto Tanzania kumwachia mume huenda wanyakyusa tukashika namba moja....udhaifu wetu ni kumbadilisha jina mtoto na kumpa la ukoo upande wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…