Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Sijawahi kusikia wala kuona sehemu watu wanaposa kwa kiasi kikubwa hivi kwa wastani wa posa nilizohudhuria na nilizosikia.

Najua mahari huwa zinatofautiana ila posa huwa inafanana.
Wanapooana maskini posa huwa ndogo.Posa kubwa inategemea muolewaji anatokea familia yenye hadhi gani? Na yenye maadili gani? Kuna binti toka familia yenye hadhi na maadili mazuri ukienda kuoa mahari yaweza anzia milioni tatu kwenda juu.Ukienda zenye hadhi ndogo na maadili madogo mahari yaweza kuwa hata elfu kumi au hata bure na posa waweza weka hata shilingi elfu mbili

Kupiga hesabu ya posa ni kuwa iwe asilimia kumi ya mahari tarajiwa
 
250k ya posa tu unapiga kelele hivyo, ikigika mahari au matunzo ya mtoto utaweza wewe?
Halafu kamzalisha mtoto kabla ya kumuoa kawaachia wakae naye kulea hako katoto ni tusi kwa wanyakyusa hapo ajiandae kupigwa faini atakapokuwa anapangiwa mahari.Cha kwanza atatakiwa alipe faini kwa kumzalisha mtoto wao kabla ya kumuoa
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakua na kaubabe flan ivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Sijawahi kusikia wala kuona sehemu watu wanaposa kwa kiasi kikubwa hivi kwa wastani wa posa nilizohudhuria na nilizosikia.
Unaoaje mnyakyusa
To yeye Kuna maswali yako huku
 
DOGO BADO HAUPO TAYARI KUOA. TSH 250,000 YA POSA UNAKUJA ANZISHA UZI? MAHARI SI NDO UTALIA KABISA. WATU POSA TUNATOA MPAKA MILION MOJA NA KUENDELEA NA MKE AKIZINGUA TUNAMWACHA. MADOGO MNADEKA SANA MIAKA HII. NDO MAANA MNASHINDWA KULEA FAMILIA.
Inaonekana we ni mjinga au huna uwezo wa kufikiri sawasawa au wewe ndo wale saidiwa na baba
 
Ni kawaida wanyakyusa kwenye mahari wanapenda sana msumbuane. Ila ni watu wanaopenda sana undugu na ukarimu ila wanawake wao wanapenda ubabe na ujuaji.

Wakishajua kuuza nguniani na maparachichi sokoni wanakua hawaheshimu tena wanaume na wengi wao wanalea familia bila wanaume. Pia ukioa mnyakyusa jiandae akifiwa atakaa miezi 2 ndo arudi nyumbani, wanaomboleza 'kwerikweri'.
 
Kama uliongeza pesa kwa kutetemeshwa wewe ni dhaifu,na utakua mfano bora wa ulichokiona mbeya yani katika nyumba yako mke wako ndiye atakua mwenye sauti.

Yani mimi kitendo cha kusema pesa ndogo siwezi toa posa ningewaacha na binti yao hapo
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakua na kaubabe flan ivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Wanawake wa kinyakyusa wanatabia ya kumtawala mwanaume,jipange kua Strong
 
Ukishindwa kuwa na msimamo hapa mwanzo iyo familia watakuchukulia poa sana.

Kuwa na msimamo wako, wakitishia kukuletea kichanga waambie mleteni. Heshima itakuwepo, ukilega hapo hata ukioa utapangiwa mambo ya familia yenu na wakwe
 
Ni familia hiyo uliyoenda kuoa sio kabila zima, na hiyo uliyopeleka ni posa yaan kishika uchumba hakitakiwi kuzidi 100,000/= labda kama umempa mimba kabisa hapo ndo faini inakuhusu inainzia 150,000-300,000/= kuhusu maamuzi yako chini ya baba na mashangazi sio mama, nimeoa unyakyusani na mwaka wa nane huu niko na mama chanja wangu life linaenda. Onyesha msimamo ukienda kinyororo utakula za uso
Yeye amezaa kabisa.
 
Back
Top Bottom