Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Mbona una sample space moja Ila unadai kuwa unazo demographic data. Mie nikajua umetembea kwa Ilo kabila lote. Mana hapa probability hata Hakuna ,so umeenda kwa familia moja zipo familia ngapi ili tuone Ile number of events over the total number of sample space.
Ili Sasa tupige hesabu tuone unachoongea.
"I often say that when you can measure what you are speaking about, and express it in numbers, you know something about it; but when you cannot measure it, when you cannot express it in numbers, your knowledge is of a meagre and unsatisfactory kind." ~ Lord Kelvin.

Mana hapa umeongea hisia we need facts. Hebu jaribu kutembea kwa familia Milioni moja za kinyakyusa halafu ulete hapa ili tupime. Na wewe Sasa unataka tuungane na wewe ili tuwapige Vita wapunguze mahari.
Mbona kwanza unachotoa Ni kidogo mno.
Wa Dinka wa sauzi sudani wanatoa ng'ombe 100-500 na binti anakaa na wewe 4yrs bila ya kufanya kazi yoyote akihudumiwa na ndugu zako na ukijichanganya ndani ya hiyo four years anasepa na haurudishiwi mahari.

Yaani wewe hela ya kuhonga unalalamika.
Sasa akikiugulia ukatumia milioni si utakuja kuwa mke Ni gharama.
When you are face to face with a difficulty, you are up against a discovery.” “The more you understand what is wrong with a figure, the more valuable that figure becomes.” “To measure is to know.” “If you cannot measure it, you cannot improve it.
 
1. Mama mkwe (mtarajiwa) akiwa na sauti kuliko mume wake hilo ni tatizo kubwa sana, huyo binti yao atakupelekesha sana.
2. Ukikubali kutoa 250,000/= tayari utakuwa chini yao milele.
3. Ni mapenzi na hisia, ila kama kuna uwezekano epuka mapema hilo janga.
Mbona vishika uchumba ivo ni vidogo japo kwa jamii zingine ni kiasi chochote utachowapa wanapokea....japo kuna jamii zingine wanakupigia vile vitu vya kupeleka ukitaka ununue au uwape pesa ni wewe tu....mfano kuna zile blanket ya mzee, vitenge vya mama japo wengine umaskini na tamaa wanamfanya mkwe mtaji wanaitisha vutenge hadi vya kina mama wadogo na mashangazi kama wooote, sufuria kubwa, sjui unga, na pesa taslimu kiasi atachoona mkwe kinafaa kulingana na economic status yake wengine hata milioni wanatoa kishika uchumba
 
250k ya posa tu unapiga kelele hivyo, ikigika mahari au matunzo ya mtoto utaweza wewe?
Kama nimemuelewa mleta mada anapiga kelele kwa familia mwanamke kuwa ndio mwenye nguvu ya kuamua mambo...,
Kwa wanyak mleta mada familia nyingi nimeona mama ndio mwenye nguvu chichanganye umetoka kanda ya ziwa ushazoea mwanaume ndio mwenye nguvu utalia.
 
Mbona una sample space moja Ila unadai kuwa unazo demographic data. Mie nikajua umetembea kwa Ilo kabila lote. Mana hapa probability hata Hakuna ,so umeenda kwa familia moja zipo familia ngapi ili tuone Ile number of events over the total number of sample space.
Ili Sasa tupige hesabu tuone unachoongea.
"I often say that when you can measure what you are speaking about, and express it in numbers, you know something about it; but when you cannot measure it, when you cannot express it in numbers, your knowledge is of a meagre and unsatisfactory kind." ~ Lord Kelvin.

Mana hapa umeongea hisia we need facts. Hebu jaribu kutembea kwa familia Milioni moja za kinyakyusa halafu ulete hapa ili tupime. Na wewe Sasa unataka tuungane na wewe ili tuwapige Vita wapunguze mahari.
Mbona kwanza unachotoa Ni kidogo mno.
Wa Dinka wa sauzi sudani wanatoa ng'ombe 100-500 na binti anakaa na wewe 4yrs bila ya kufanya kazi yoyote akihudumiwa na ndugu zako na ukijichanganya ndani ya hiyo four years anasepa na haurudishiwi mahari.

Yaani wewe hela ya kuhonga unalalamika.
Sasa akikiugulia ukatumia milioni si utakuja kuwa mke Ni gharama.
When you are face to face with a difficulty, you are up against a discovery.” “The more you understand what is wrong with a figure, the more valuable that figure becomes.” “To measure is to know.” “If you cannot measure it, you cannot improve it.
Wewe ni wale educated slaves unavaa suti but still your slave tu.
Hongera kwa kuwa mtumwa uliye elimika japo bado ni mtumwa
 
Kaka unachosema ni sahihi asilimia 100.

Kuna Manzi ananipenda vibaya sana tena alinitongoza kabisa na ni pini hasa. Ana kazi yake fresh na ananisikiliza shida moja tu alipoanza kufunguka kuhusu familia yake hapo hapo nikaona haifai mimi kujiingiza kwenye msala.

Mama yake ni msumbufu halafu anambuluza sana baba yake hana sauti, mama sio mwelewa kiasi cha kwamba anaomba hela vibaya na kumuingiza bint kwenye madeni ya ajabu. Mwanzo sikuamini ila nilipoona sms na voice note nikasema hapa si pa kuoa halafu mbaya zaidi bint alimwambia mama yake kua ana mtu muislam anataka kuja kutoa posa ebwana ilikua balaa hayo maneno. Amemwambia atamkataa kua sio mwanawe siku akiamua huo uamuzi yaani now bint hata akifunga shungi ugomvi.

NB:ukiona familia mama ana sauti kuliko baba kimbia usije ukaoa hapo unakimbilia matatizo.
 
Wewe ni wale educated slaves unavaa suti but still your slave tu.
Hongera kwa kuwa mtumwa uliye elimika japo bado ni mtumwa
When debate is lost the insults become the tools of the loser.
By one Roman emperor.
Naona brain imeshindwa kuleta facts Bali imejikita kwenye biasness, subjectivity, opinions, feelings, assumptions , etc Ila sio objective something measurable.

Yaani mie nikiona mzaramo mmoja akaua Basi najua wazaramo wote Ni wauaji hili Ni cheap mindset and lazy mind to think to come up with real solid and robust solutions to solve up and bring the real solution to create good impact to our society
 
Hiyo thinking unayo jaribu kutumia ni ya karne ya 16 tu, na kuna namna nyingi ya tofauti za kufikiri.
Kujua culture, norms, tradition za wasukuma huhitaji ukutane na wasukuma wote, kujua mambo ya wasandawe huhitaji kukutana na wasandawe wote same to wajaluo, wachaga, wakurya.
Hakuna haja ya kutafuta quantitative measures kwenye mambo ya culture.
Kama mwanamke anapata guts za kumpinga mmewe ambaye kashapokea posa means ni kitu cha kawaida kimezoeleka kimekuwa adapted na watu hao huhitaji kutafuta wanyakyusa wote kujua kama ni sawa kwanza sio realistic anao mtu mmoja a quantifying data za wanyakyusa wote.
Ukienda kanda ya ziwa mwanamke huwezi ukakuta ana behave like that mbele ya mme wake.
All in all endelea kumeza madesa wasome sana kina Emmanuel kant wa modern philosophy na kina Socrates wa ancient philosophy.
Ukumbe pia kuna aina nyingi za thinking usikalili tu hiyo Descarte thinking that is how you become slave
 
Kama nimemuelewa mleta mada anapiga kelele kwa familia mwanamke kuwa ndio mwenye nguvu ya kuamua mambo...,
Kwa wanyak mleta mada familia nyingi nimeona mama ndio mwenye nguvu chichanganye umetoka kanda ya ziwa ushazoea mwanaume ndio mwenye nguvu utalia.

Asome historia...

Kiasili Wanyakyusa ni matrilinear, ni miongo kadhaa tu ya karibuni haswa wakati wa ukoloni na baada ya uburu ndio hii mila umeondoka...

Hivyo hii imepelekea kwa mwanamke kuwa na nafasi yake kwenye baadhi ya maamuzi haswa yale ya "kike kike"...

Hata kwenye malezi, wanaume wa Kinyakyusa huwa hawana time sana na malezi ya mabinti zao, jukumu la malezi ya binti mara nyingi huwa chini ya uangalizi wa mama...

Kwa Wanyakyusa mwanaume bado ana nguvu sana kama kichwa cha familia, hawana tofauti sana na makabila mengine ya bara, unaweza ona hilo kupitia majina ambayo mwanaume huitwa kama mnyambala (mwanaume wa shoka), tata (baba jina ambalo hutumika pia kumuita Mungu) n.k...

Wanawake wa Kinyaki sema tu wanaongea sana, mdomo mali yao, ila wanaheshimu sana nafasi ya mwanaume...
 
Halafu kamzalisha mtoto kabla ya kumuoa kawaachia wakae naye kulea hako katoto ni tusi kwa wanyakyusa hapo ajiandae kupigwa faini atakapokuwa anapangiwa mahari.Cha kwanza atatakiwa alipe faini kwa kumzalisha mtoto wao kabla ya kumuoa

Ataandika uzi tena...
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Usiseme madhaifu, hakuna standard. Kila community zina taratibu zake. Usichopenda wewe wenzako wanapenda, na wakipenda usiseme ni udhaifu.
 
Back
Top Bottom