Madhaifu yetu Simba SC ni makubwa kuliko ya Yanga SC

"Pambana na ...........yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli unajua kuchambua mambo ulichokisema ndio ukweli mtupu, muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili mkuu ni pamoja na wewe hata mechi ya Yanga tutapigwa tu... Kwenye usajili hata mimi sikuupenda usajili wa bocco kapombe hata huyu okwi
 
Kwa hili mkuu ni pamoja na wewe hata mechi ya Yanga tutapigwa tu... Kwenye usajili hata mimi sikuupenda usajili wa bocco kapombe hata huyu okwi
 
umeongea vizuri lkn timu zetu za kibongo zina malengo ya mashindano ya ndani tu na kumfunga mtani tu!simba misimu minne ilikuwa na damu changa je wamechukua kombe mara ngapi na yanga kulikuwa na wakongwe na ndo bingwa mara zote na wanajiita wa kimataifa kwa sababu ya ubingwa huku wachezaji ni wazee akina tambwe na kamusoko so simba nao wameamua kusajili wakongwe ili warudishe heshima ndani ikiwepo kuifunga yanga na kuwa bingwa ligi kuu,kimataifa watanusa na kurudi kama yanga tuu basi inatosha kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa style ndala fc mlivyowekwa kwe kona na magu nadhan mnamkumbuka kikwete now.....eh eh ila sio mbaya dogo wetu rizimoko wa fitna atakuja Changsha Changsha angalau mnada usipigwe ingawa Satan mmeshikwa pabaya kama nanyi ni ile jamii ya viongozi mafisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivo ujui kuwa Serikalindio Yanga,na Yanga ndio serikali?

Kamailikuwa na mawazo finyu kuwa jengo la Yanga lingepigwa mnada basi "kalaga baho"
 
Hivo ujui kuwa Serikalindio Yanga,na Yanga ndio serikali?

Kamailikuwa na mawazo finyu kuwa jengo la Yanga lingepigwa mnada basi "kalaga baho"
wanayanga bana kama wanawake malaya sasa baada ya kuzunguuuka imebidi uoneshe unazi wako...magu yeye anataka kodii na kazi ..hamna kubebana utawala huu..nasikia na familia ya karume nao wanataka eneo lao kumbe mzee karume aliwaazima tu kwa mda
 
Uko sahihi mkuu; lakini nakushauri uweke akiba ya maneno.
Ni mapema mno kuwahukumu Bocco,Kapombe na benchi la ufundi.Tuwape muda.
Hope wataimarika na kuisaidia timu.

The Great Gatsby
 
Uliposema uwongo ni hapo ulipoandika
"madhaifu yetu Simba"
Ilibidi uandike
" madhaifu yenu Simba "
Na pia Kapombe hakwenda Azam kwa kutokea Simba, bali alienda Ufaransa(hata kama kulikuwa na magumashi).

The Great Gatsby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…